Hafidh Ameir
From Wikipedia, the free encyclopedia
Hafidh Ameir ni mume wa rais wa sita wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na asili ya visiwani Zanzibar.
Hafidh ni mtaalamu mstaafu wa masuala ya kilimo [1] na walifunga ndoa na Mama Samia mwaka 1978 [2] na wamejaaliwa kupata watoto wanne [3]; mmojawao, Wanu Hafidh Ameir, ni mwanasiasa kama mama yake [4] [5] na mjumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.