Gregori wa Tours (Clermont-Ferrand, Auvergne, 30 Novemba 538 hivi [1] - Tours, 17 Novemba 594[2]) alikuwa askofu wa Tours, katika Ufaransa wa leo, baada ya jamaa yake Eufroni[3].

Thumb
Sanamu ya Mt. Gregori ya Tours (kazi ya Jean Marcellin, karne ya 19), Louvre,Paris, Ufaransa.

Ni maarufu pia kama mwanahistoria kwa kuandika "Historia ya Wafaranki" kwa mtindo mnyofu na rahisi kueleweka [4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Novemba[5].

Tazama pia

Tanbihi

Maandishi yake

Vyanzo vingine

Viungo vya nje

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.