From Wikipedia, the free encyclopedia
Grammy Awards au Tuzo za Grammy (awali iliitwa Gramophone Awards)—au Grammys—hutolewa kila mwaka na National Academy of Recording Arts and Sciences ya nchini Marekani kwa ajili ya kazi zilizopata mafanikio makubwa katika soko la muziki. Sherehe hizi za ugawaji wa tuzo hushirikisha wasanii mashuhuri na wale machipukizi, na baadhi ya tuzo zao huwa maarufu na huonyeshwa katika matelevisheni mengi nchi nzima.
Grammy Awards | |
Hutolewa kwa ajili ya | Kufanya vizuri katika soko la muziki |
Hutolewa na | NationalARAAS |
Nchi | Marekani |
Imeanza kutolewa mnamo | 1958 |
Tovuti rasmi |
---|
Makundi makuu ya au jamii kuu za aina ya muziki ni nne.
Kigezo:Soko la muziki
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.