From Wikipedia, the free encyclopedia
Kindi-miraba ni wanyama wadogo wa jenasi Funisciurus katika kabila Protoxerini la familia Sciuridae. Kama kindi wote spishi hizi hupitisha muda mitini hasa lakini huteremka ardhini mara kwa mara. Wanatokea misitu ya Afrika ya Kati mpaka Senegali ya Kusini magharibi na mpaka Namibia ya Kaskazini kusini. Hula mbegu, makokwa, matunda, matumba, machipukizi na wadudu.
Kindi-miraba | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kindi-miraba wa Kongo (Funisciurus congicus) | ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Spishi 9:
| ||||||||||||||||||
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.