From Wikipedia, the free encyclopedia
Fuljensi wa Ecija (alifariki 630) alikuwa askofu huko Andalusia, nchini Hispania, ndugu wa Leandro, Isidoro na Florentina.
Kwa ajili yake Isidoro aliandika kitabu juu ya vyeo vya Kikanisa.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 14 Januari[1].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.