Remove ads
Mwandishi na mchapishaji wa Afrika Kusini From Wikipedia, the free encyclopedia
Ezekiel "Es'kia" Mpahlele (17 Desemba 1919 - 27 Oktoba 2008) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Aliandika hadithi fupi, riwaya na insha za kiuhakiki. Mwaka wa 1957 alihama Afrika Kusini kwa sababu za kisiasa akaishi nchi mbalimbali, baadhi yao Nigeria, Zambia na Marekani. Mwaka wa 1978 aliruhusiwa kurudi Afrika Kusini akawa profesa wa fasihi katika Chuo Kikuu cha Witwatersrand.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ezekiel Mphahlele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.