Eustrasi na wenzake
From Wikipedia, the free encyclopedia
Eustrasi na wenzake Ausensi, Eugeni, Mardari na Oreste (walifariki Sivas, Armenia ya Kale, leo nchini Uturuki, 300 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao [1][2].
Ndiyo sababu wanaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 13 Desemba[3].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.