From Wikipedia, the free encyclopedia
Robert Eric Betzig (amezaliwa 13 Januari, 1960) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mambo ya hadubini. Mwaka wa 2014, pamoja na Stefan Hell na William Moerner, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eric Betzig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
'
Eric Betzig | |
---|---|
Faili:ErEric Betzigic Betzig.jpg | |
Amezaliwa | 13 Januari, 1960 |
Kazi yake | mwanakemia kutoka nchi ya Marekani |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.