Elizabeti wa Schonau
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Elizabeti wa Schönau (1129 hivi – 18 Juni 1164) alikuwa mwanamke mmonaki mwaminifu sana wa shirika la Wabenedikto nchini Ujerumani[1].

Alipata umaarufu kwa njozi zake.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu kuanzia mwaka 1584.
Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake, 18 Juni[2].
Remove ads
Maandishi yake
- Critical Edition (Latin): Ferdinand Wilhelm Emil Roth, ed. (Brunn, 1884)
- Modern English Translation: Elisabeth of Schönau: the complete works, Anne L. Clark, trans. and intro., Barbara J. Newman, preface (New York: Paulist Press, 2000)
- Modern German translation: Die Werke der Heiligen Elisabeth von Schönau, Peter Dinzelbacher, trans. (Verlag Ferdinand Schöningh, 2006) ISBN 3-506-72937-3
- Translations have been published in modern Italian (Venice, 1859) and French (Tournai, 1864), as well as medieval Icelandic (ca. 1226–1254)
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads