Elisiv wa Kiev
From Wikipedia, the free encyclopedia
Elisiv wa Kiev (kwa Kinorwei: Elisif au Elisivi; kwa Kirusi: Елизавета Ярославна; kwa Kiukraine: Єлизавета Ярославна; 1025 - 1067 hivi) alikuwa malkia wa Norwei kwa kuolewa na mfalme Harald III wa Norwei.[1]

Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.