From Wikipedia, the free encyclopedia
Dominiko Savio (Kiitalia: Domenico Savio; Riva presso Chieri, 2 Aprili 1842 – Castelnuovo Don Bosco, 9 Machi 1857[1][2]) alikuwa mvulana wa Italia aliyelelewa na Yohane Bosco kufuata upole na furaha na kwa njia hiyo alifikia mapema Ukamilifu wa Kikristo.
Akiwa anasomea upadri aliugua na hatimaye akafariki dunia katika umri wa miaka 14 tu.[3]
Mlezi wake aliandika kitabu juu yake (Maisha ya Dominiko Savio) ambacho kilichangia sana kumfanya ajulikane na hatimaye atangazwe na Papa Pius XII kwanza mwenye heri tarehe 5 Machi 1950, halafu mtakatifu[4] tarehe 12 Juni 1954.[5]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.