From Wikipedia, the free encyclopedia
Dola-mji ni dola ambalo eneo lake ni mji mmoja pekee.
Katika historia kuna mifano mingi ya dola-miji. Mwaka 2015 kulikuwa bado na miji mitatu duniani ambayo ni dola-miji ya kujitegemea kabisa.
Pamoja nayo kuna pia madola au majimbo ndani ya nchi za shirikisho yanayoweza kuitwa "dola-mji".
Dola-mji wa kujitegemea kabisa ni:
Wakati mwingi Kuwait huitwa pia "Dola-mji" kwa sababu karibu wakazi wote wa dola huishi katika mazingira ya Kuwait mjini. Lakini nchini kuna miji midogo mingine pia.
Dola mji kama jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho ni kama mfano:
China si shirikisho lakini miji ya Hongkong na Makau ina madaraka makubwa ya kujitawala nje ya sheria za China bara.
Dola miji ilikuwa muhimu sana katika nchi nyingi kihistoria. Hasa wakati ambapo katika nchi fulani hakukuwa na serikali ya juu miji ilijitawala kabisa na kushindana na miji mingine na falme.
Karne ya 20 ilikuwa na dola-miji kadhaa, hasa kati ya vita kuu ya kwanza na ya pili.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.