From Wikipedia, the free encyclopedia
Diether Ocampo Pascual, maarufu kama Diether Ocampo (alizaliwa 19 Julai 1976), ni mwigizaji wa filamu na mwimbaji kutoka nchi ya Ufilipino.
Ocampo ni mshirika wa ABS CBN's maarufu kama Star Magic. Pia ni mmoja kati ya wamiliki wa jarida la wanaume linalojulikana kama Uno.
Ocampo anashikilia rekodi ya kuwa msanii pekee aliyesimama kama nyota katika tamthilia nyingi(10) kuliko msanii yeyote nchini katika historia ya sanaa. Katika mwaka 2007 pekee, amesimama kama nyota katika tamthilia za “Palimos ng Pag-ibig”, “Rounin”, “Princess Sarah” na “Margarita”.
|
Tamthilia
|
Mbele ya kipaza sauti, Diether Ocampo anajulikana kama “Kapteni Mongrel” na bendi yake inayojulikana kama “Blow”. Katika bendi yake yeye ni muimbaji kiongozi, akishirikiana vema na, Kessenth "Col. Cabron " Cheng (mpiga Gitaa la solo), Emil Buencamino (Mpiga ngoma), Jasper “Pepe” Ong (Muimbaji msaidizi), na Empi K. Martinez "Obi Wakantoti" (mpiga gitaa la besi). Mpaka sasa bendi ina albamu mbili, Nice & Hard (2003) na Rock Manila (2005). Archived 29 Septemba 2007 at the Wayback Machine. Archived 29 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
Mwaka | Filamu/Tamthilia | Kama | Shirika |
2007 | Palimos Ng Pag-ibig | Muigizaji Bora (kachaguliwa) | PMPC STAR AWARDS FOR TV |
2006 | Ikaw Ang Lahat Sa Akin | Muigizaji bora mshindi | PMPC STAR AWARDS FOR TV |
2006 | Nasaan Ka Man | Muigizaji bora msaidizi mshindi | GAWAD TANGLAW |
2006 | Nasaan Ka Man | Muigizaji bora msaidizi (kachaguliwa) | PASADO |
2004 | Sana'y Wala Nang Wakas | Muigizaji Bora | PMPC STAR AWARDS FOR TV |
2002 | La Vida Rosa | Muigizaji Bora (kachaguliwa) | GAWAD URIAN |
2002 | La Vida Rosa | Muigizaji bora (kachaguliwa) | FILM ACADEMY OF THE PHILIPPINES |
2002 | Kundi la kutumainiwa zaidi (The Hunks akiwa na Piolo Pascual, Bernard Palanca, Carlos Agassi, and Jericho Rosales) | Guillermo Mendoza Memorial Scholarship Foundation Awards | |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.