Jericho Rosales

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jericho Vivar Rosales (amezaliwa tar. 22 Septemba 1979 mjini Quezon, Ufilipino) ni mwigizaji wa kifilipino. Alianza kazi ya uigizaji baada ya kushinda katika mashindano ya Mr. Pogi (mashindano ya Urembo yanayohusisha wanaume) mwaka 1996. Echo, kama anavyojulikana na wengi, ameumbwa na vipaji vingi.Yeye ni muigizaji, muimbaji, mtunzi wa nyimbo, mchezaji(mnenguaji) na muongozaji(aliongoza video za nyimbo mbili na alishirikiana kuongoza na Gary Valenciano katika matamasha yake ya Music Music hapo 18 Oktoba mpaka 19, 2007).

Ukweli wa haraka Jericho Rosales ...
Jericho Rosales
Jina la kuzaliwa Jericho Vivar Rosales
Alizaliwa 22 Septemba 1979, Ufilipino
Kazi yake Mwigizaji, mwimbaji, mtunzi na mtangazaji.
Mahusiano Kristine Hermosa.
Funga

Echo alijiunga Star Circle mnamo 1997. Katika maonesho madogo, Alishiriki katika tamthilia kama Maalaala Mo Kaya, Pangako sa Yo, Sana'y Wala Nang Wakas na Ang Panday. Tamthilia ya Pangako sa Yo ilimfanya kuwa maarufu mno sio tu Phillipines bali hata katika mataifa ya Kusini-Mashariki Mwa Asia kama vile Malaysia.

Rosales alishiriki kama nyota katika filamu mahiri za Tanging Yaman, Baging Buwan, Noon at Ngayon, Santa Santita na Nsaan Ka Man. Yeye pia alishirikishwa katika timu ya wapenzi pamoja na Kristine Hermosa katika filamu za Trip, Forevermore, na Ngayong Nandito Ka. Filamu yake ya hivi karibuni ililenga maisha halisi ya Mwanandondi maarufu wa Ufilipino, Manny Pacquiao.

Mnaomo mwezi Machi mwaka 2006, EMI Malaysia walisaini na Rosales na Bendi yake ya Jeans (yeye ni mwimbaji kiongozi na mtunzi wa karibu nyimbo zote za hiyo bendi) album yao ya kwanza iliitwa Loose Fit.

Filamu Alizocheza

Maelezo zaidi Jina, Mwaka ...
JinaMwakaMtengenezaji
Pacquiao2006Star Cinema/FLT Films
Nasaan Ka Man2005Star Cinema
Santa Santita2004Unitel Productions
Noon at Ngayon2003Star Cinema
Ngayong Nandito Ka2003Star Cinema
Kailangan Kita2002Star Cinema
Forevermore2002Star Cinema
Bagong Buwan2001Star Cinema
Trip2001Star Cinema
Tanging Yaman2000Star Cinema
Suspek1999Star Cinema
Wansapanataym: The Movie1999Star Cinema
Magandang Hatinggabi1998Star Cinema
Biyudo si Daddy, Biyuda Si Mommy1997Star Cinema
Hanggang Kailan Kita Mamahalin?1997Star Cinema
Funga

Tamthilia Alizocheza

Maelezo zaidi Jina, Mwaka ...
JinaMwaka
Pangarap Na Bituin2007
Love Spell presents Ellay Enchanted2007
Ang Panday (TV series)2005-2006
Bora: Sons of the Beach2005-2006
Sana'y Wala Nang Wakas2003-2004
Pangako sa 'Yo2000-2002
Richard Loves Lucy1998-2000
Ang Munting Paraiso1999-2002
Esperanza (TV series)1997-1999
Okatokat1997-2000
Kaybol1996-1998
Nagmamahal Pa Rin Sa Iyo1995-1996
Funga

Tuzo

Maelezo zaidi Filamu/Tamthilia, Kama ...
Filamu/TamthiliaKamaShirika
PacquaioMuigizaji BoraPASADO 2007
PacquiaoMuigizaji Bora (akiwa na Piolo Pascual)23rd PMPC Star Awards for Movies 2007
Timu ya wapenzi Maarufu zaidi (akiwa na Krisine Hermosa)Guillermo Mendoza Memorial Scholarship Foundation Awards 2002
Kundi la Kutumainiwa zaidi (The Hunks akiwa na Piolo Pascual, Bernard Palanca, Carlos Agassi, na Diether Ocampo)Guillermo Mendoza Memorial Scholarship Foundation Awards 2002
Prince of Philippine MoviesGuillermo Mendoza Memorial Scholarship Foundation Awards 2001
Timu ya wapenzi Maarufu zaidi (akiwa na Kristine Hermosa)Guillermo Mendoza Memorial Scholarship Foundation Awards 2001
Maalaala Mo Kaya "Pasa"Mchezaji Bora pasi na mwenza na Muigizaji KiongoziPMPC Star Awards for TV 2000
Muigizaji Kijana bora wa kiumeGuillermo Mendoza Memorial Scholarship Foundation Awards 1999
Maalaala Mo Kaya "Pampang"Mchezaji Bora pasi na mwenza na Muigizaji KiongoziPMPC Star Awards for TV 1998
Muigizaji mpya bora wa TelevisheniParangal ng Bayan 1998
Best New TV PersonalityPMPC Star Awards for TV 1998
Funga

Kuchaguliwa

Kuchaguliwa Kwenye Filamu

Maelezo zaidi Jina, Kama ...
JinaKamaShirika
PacquiaoMuigizaji BoraFAMAS Awards 2007
PacquiaoMuigizaji Bora(Hadithi)ENPRESS Golden Screen Awards 2007
Nasaan Ka ManMuigizaji BoraFAMAS Awards 2006
Santa SantitaMuigizaji BoraLUNA (formerly Film Academy of the Philippines) 2005
Santa SantitaMuigizaji BoraPMPC Star Awards for Movies 2005
Santa SantitaMuigizaji Bora(Hadithi)ENPRESS Golden Screen Awards 2005
Noon at NgayonMuigizaji Bora MsaidiziGawad Urian 2004
Tanging YamanMuigizaji Bora MsaidiziGawad Urian 2001
Tanging YamanMuigizaji Bora MsaidiziFilm Academy of the Philippines 2001
Tanging YamanMuigizaji Bora MsaidiziFAMAS Awards 2001
Tanging YamanMuigizaji Bora MsaidiziPMPC Star Awards for Movies 2001
Tanging YamanMuigizaji Bora MsaidiziMetro Manila Film Festival 2000
Funga

Kuchaguliwa Kwenye Televisheni

Maelezo zaidi Jina, Kama ...
JinaKamaShirika
Ang Panday (TV series)Muigizaji BoraPMPC Star Awards for TV 2006
Sana'y Wala Nang WakasMuigizaji BoraPMPC Star Awards for TV 2004
Sana'y Wala Nang WakasMuigizaji BoraENPRESS Golden Screen Entertainment TV Awards 2004
Pangako Sa 'YoMuigizaji BoraPMPC Star Awards for TV 2001
Funga

Albamu

Maelezo zaidi Jina, Kundi ...
JinaKundiMwaka
Hunks LiveHunks2001
Loose FitJeans2006
Funga

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.