Washonaji ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Cisticolidae. Wamepewa jina hili kwa sababu ndege hawa huunganisha majani kwa kushona na kutengeneza tago lao ndani yao.
Wana mkia mrefu uwekwao juu mara nyingi. Rangi yao ni kahawia, kijivu au kijani mgongoni na nyeupe, njano au kijivu isiyokolea chini; spishi kadhaa zina utosi mwekundu. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara na Asia ya tropiki katika misitu na mapori. Hula wadudu. Hulitengeneza tago kwa manyasi ndani ya majani yaliyoshonwa katika kichaka, mmea au kishungi cha manyasi. Jike huyataga mayai 2-3.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Mshonaji |
Kiota cha mshonaji katika majani yaliyoshonwa |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Nusufaila: |
Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
|
Ngeli: |
Aves (Ndege)
|
Oda: |
Passeriformes (Ndege kama shomoro)
|
Familia ya juu: |
Sylvioidea (Ndege kama kucha)
|
Familia: |
Cisticolidae (Ndege walio na mnasaba na videnenda) Sundevall |
|
Ngazi za chini |
Jenasi 4, spishi 23 za washonaji:
- Artisornis Friedmann, 1928
- A. metopias (Reichenow, 1907)
- A. moreaui (W.L. Sclater, 1931)
- Calamonastes Sharpe, 1883
- C. fasciolatus (A. Smith, 1847)
- C. simplex (Cabanis, 1878)
- C. stierlingi Reichenow, 1901
- C. undosus (Reichenow, 1882)
- Camaroptera Sundevall, 1850
- C. brachyura (Vieillot, 1820)
- C. brevicaudata (Cretzschmar, 1830)
- C. chloronota Reichenow, 1895
- C. harterti Zedlitz, 1911
- C. superciliaris (Fraser, 1843)
- Orthotomus Horsfield, 1821
- O. atrogularis Temminck, 1836
- O. castaneiceps Walden, 1872
- O. chaktomuk Mahood et al., 2013
- O. cinereiceps Sharpe, 1877
- O. derbianus Moore, 1855
- O. frontalis Sharpe, 1877
- O. nigriceps Tweeddale, 1878
- O. ruficeps (Lesson, 1830)
- O. samarensis Steere, 1890
- O. sepium Horsfield, 1821
- O. sericeus Temminck, 1836
- O. sutorius (Pennant, 1769)
|
Funga
- Artisornis metopias, Mshonaji Utosi-mwekundu (Red-capped Forest Warbler au African Tailorbird)
- Artisornis moreaui, Mshonaji Domo-refu (Long-billed Forest Warbler au Tailorbird)
- Calamonastes fasciolatus, Mshonaji Miraba (Barred Wren-Warbler)
- Calamonastes simplex, Mshonaji Kijivu (Grey Wren-Warbler)
- Calamonastes stierlingi, Mshonaji wa Stierling (Stierling's Wren-Warbler)
- Calamonastes undosus, Mshonaji-miyombo (Miombo Wren-Warbler)
- Camaroptera brachyura, Mshonaji Mgongo-kijani (Green-backed Camaroptera)
- Camaroptera brevicaudata, Mshonaji Mgongo-kijivu (Grey-backed Camaroptera)
- Camaroptera chloronota, Mshonaji Kijanikijivu Olive-green Camaroptera)
- Camaroptera harterti, Mshonaji wa Hartert (Hartert's Camaroptera)
- Camaroptera superciliaris, Mshonaji Nyusi-njano (Yellow-browed Camaroptera)
Mshonaji miraba
Mshonaji kijivu
Mshonaji mgongo-kijani
Mshonaji mgongo-kijivu
Mshonaji kijanikijivu
Mshonaji nyusi-njano
Dume la dark-necked tailorbird
Jike la dark-necked tailorbird
Dume la ashy tailorbird
Jike la ashy tailorbird
Olive-backed tailorbird
Olive-backed tailorbird kando ya kiota chake ambamo yumo kinda la plaintive cuckoo
Rufous-tailed tailorbird
Common tailorbird
Common tailorbird