Bubu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Bubu (kwa Kiingereza: mute) ni mtu ambaye hana uwezo wa kusema au kuzungumza kwa kinywa kama ilivyo kawaida.
Mara nyingi watu hao huzungumza au kuongea kwa ishara tu. Kwa hiyo kama unataka kuongea na mabubu inabidi uweze kuzijua ishara zao wanazozitumia katika uzungumzaji na kutumia ishara hizo kwa umakini sana bila kukosea.
Mara nyingi hali hiyo ya ulemavu wa kimwili inawaathiri hata kinafsi. Hivyo si vyema kuwatenga au kuwanyanyasa watu kama hao maana wao ni binadamu wenzetu, inabidi tuishi nao kwa ushirikiano mkubwa na tusichoke kuwapa mahitaji yao jinsi inavyotakiwa.
Katika Injili, tunasoma Yesu alivyoponya baadhi ya mabubu, kama ilivyotabiriwa na manabii wa kale, hasa Isaya.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bubu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.