From Wikipedia, the free encyclopedia
Nyanda za juu za Brazil (kwa Kireno: Planalto Brasileiro) ni eneo kubwa katika mashariki, kusini na katikati ya Brazil. Eneo lake ni kama theluthi ya nchi yote na sehemu kubwa ya watu wa Brazil (190,755,799; sensa ya 2010) wanaishi katika nyanda za juu au kwenye kanda nyembamba ya pwani iliyopo kati ya bahari na milima hiyo.
Kwa sababu ya ukubwa na utofauti wao, nyanda za juu za Brazil kwa kawaida hugawanywa katika maeneo makuu matatu:
Sehemu ya juu zaidi ya Nyanda za juu za Brazil ni Pico da Bandeira huko Serra do Caparaó, inayofikia mita 2,891 juu ya UB.
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nyanda za juu za Brazil kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.