From Wikipedia, the free encyclopedia
Aurea wa Cordoba (Cordoba, Hispania, 810 - Cordoba, 856[1]) alikuwa mjane wa familia ya Kiarabu[2][3][4] .
Baada ya kifodini cha ndugu zake Adolfo na Yohane alikwenda kuishi kama mtawa pamoja na mama yake, Artemia. Baada ya miaka 30 huko[1][2] aligundulika akauawa kwa kukatwa kichwa[5] na Waislamu waliotawala nchi hiyo, ingawa kwanza alikubali kuasi kwa hofu[6] [7].
Taarifa zake ziliandikwa na Eulogi wa Kordoba[8] [9].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.