From Wikipedia, the free encyclopedia
Augustino Erlandssön (kwa Kinorwei Øystein Erlendsson; kwa Kilatini Augustinus Nidrosiensis; Verdal, Nord-Trøndelag, 1120 hivi - Trondheim, Norwei, 26 Januari 1188) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 1161; alitetea kwa bidii Kanisa lake dhidi ya watawala wa nchi, akalistawisha kwa juhudi kubwa[1].
Kwa ajili hiyo alipelekwa uhamishoni Uingereza, lakini baadaye aliweza kurudi jimboni.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Januari[2].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.