From Wikipedia, the free encyclopedia
Arseni wa Armo (Reggio Calabria, mkoa wa Calabria, Italia, 810 – Armo, karibu na Reggio Calabria, 15 Januari 904) alikuwa padri mkaapweke wa Ukristo wa Mashariki aliyeng’aa kwa sala na ugumu wa maisha pamoja na karama za ajabu[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tarehe ya kifo chake ndiyo sikukuu yake kwa Wakatoliki[2], lakini Waorthodoksi wanamheshimu tarehe 18 Mei.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.