Ni muungano wa wachezaji huko uingereza From Wikipedia, the free encyclopedia
Arsenal FC, ni klabu ya kandanda ya kulipwa yenye makao yake Islington, katika mji mkuu wa London, nchini Uingereza.
Kuanzishwa | 1886 |
---|---|
Jina rasmi | Arsenal Football Club |
Native label | Arsenal F.C. |
Nickname | The Gunners |
Mdhamini | Emirates |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameitwa baada ya | Royal Arsenal |
Imeanzishwa na | David Danskin |
Mwenyekiti | Stan Kroenke |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
Kocha mkuu | Mikel Arteta |
Ligi | Ligi Kuu Uingereza |
Mahali pa nyumbani | Emirates |
Inamilikiwa na | Kroenke Sports & Entertainment |
Mmiliki | Manor Ground, Plumstead, Highbury Square, Emirates |
Eneo la makao makuu | London |
Tuzo iliyopokelewa | BBC Sports Personality Team of the Year Award |
Tovuti | https://www.arsenal.com/ |
Victory | 1988–89 Football League First Division, 2003–04 FA Premier League |
Rangi inayotambulika | nyekundu, rangi nyeupe |
Has works in the collection | Netherlands Open Air Museum |
Jamii ya washiriki |
Klabu hiyo inacheza katika Ligi Kuu ya soka ya Uingereza. Klabu imeshinda makombe mara 13 ya ligi (ikijumuisha taji moja ambalo haikupoteza katika mchezo yote), makombe 14 ya FA , vikombe viwili vya Carabao na makombe 17 ya Ngao ya jamii (Community Shield)
Arsenal ilikuwa klabu ya kwanza kutoka kusini mwa Uingereza kujiunga na ligi kuu ya Uingereza mwaka 1893, na walifikia Idara ya kwanza mwaka 1904. Walipigwa mara moja tu mwaka wa 1913, wanaendelea mstari mrefu zaidi katika timu zinazoshikilia nafasi za juu.[1]
Katika miaka ya 1930, Arsenal ilishinda michuano ya Ligi na vikombe viwili vya FA,walishinda Ligi mara moja na Kombe la FA mara mbili. Kati ya 1989 na 2005 ilishinda makombe ya Ligi mara tano na vikombe vitano vya FA.[2][3][4]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.