Amiba (kutoka Kiingereza "amoeba"[1]) ni jamii ya vijidudu vidogo sana visivyoonekana kwa macho ambavyo huishi kwenye maji na kwenye udongo, lakini pia katika mwili wa viumbehai wengine, vikisababisha pengine maradhi mbalimbali.
Pawlowski, J. & Burki, F. (2009). Untangling the Phylogeny of Amoeboid Protists. Journal of Eukaryotic Microbiology 56.1: 16–25, Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine..
Walochnik, J. & Aspöck, H. (2007). Amöben: Paradebeispiele für Probleme der Phylogenetik, Klassifikation und Nomenklatur. Denisia 20: 323–350, .
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amiba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.