Remove ads

Allen Stuart Drury (2 Septemba 1918 2 Septemba 1998) alikuwa mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1960 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa ajili ya riwaya yake ya kwanza “Shauri ukakubali” (kwa Kiingereza: Advise and Consent).

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allen Drury kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Allen Drury

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.

Remove ads