From Wikipedia, the free encyclopedia
Alfredi Mkuu alikuwa mfalme wa Wessex (leo nchini Uingereza) tangu mwaka 871 hadi 899.
Kama kiongozi wa Waangli na Wasaksoni waliotawala nchi, alizuia isitekwe na Waviking akawa mfalme muhimu zaidi wa Britania. Ndiyo sababu alipewa heshima ya kuitwa "mkuu"[1].
Anaheshimiwa na baadhi ya madhehebu ya Ukristo kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake, 26 Oktoba[2].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.