From Wikipedia, the free encyclopedia
Abeli au Habili ni jina la mtu anayetajwa na Biblia kama mwana wa pili wa Adamu na Eva na kama binadamu wa kwanza kufa, akiwa ameuawa na kaka yake Kaini kwa kijicho.
Habari hizo zinapatikana katika kitabu cha Mwanzo (4:2-8), lakini Abeli alitajwa pia na Yesu kama mfiadini wa kwanza (Math 23:35).
Kurani inasimulia habari hiyo bila kumtaja Abeli (5:27-31).
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abeli kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.