ZakaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Zaka (kutoka neno la Kiarabu زكاة, zakat, lenye maana ya "kinachotakasa"; kwa Kiingereza: Tithe) ni toleo la sehemu ya mapato ambalo muumini wa dini fulani anapaswa kutoa kwa Mungu, kwa viongozi wa dini husika au kwa maskini.
Zaka (kutoka neno la Kiarabu زكاة, zakat, lenye maana ya "kinachotakasa"; kwa Kiingereza: Tithe) ni toleo la sehemu ya mapato ambalo muumini wa dini fulani anapaswa kutoa kwa Mungu, kwa viongozi wa dini husika au kwa maskini.