Kipato
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kipato (kutoka kitenzi "kupata"; kwa Kiingereza: income) ni kitu chochote anachopata au malipo anayopewa mtu baada ya kufanya kazi fulani.
Ni lazima kila mmoja awe na kipato chake, haijalishi ni kiasi gani, tena kipato cha mtu ni siri yake mwenyewe.
Hata hivyo watafiti wanajitahidi kujua pato la taifa zima na wastani wa wananchi wake ili kuratibu uchumi n.k.