YerikoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Yeriko (kwa Kiebrania יְרִיחוֹ, kwa Kiarabu أريحا, maana yake "wenye kunukia") ni mji wa kale sana, ulioanzishwa miaka 9000 hivi KK karibu na mto Yordani. Yeriko kutoka kusini. Mwaka 2006 ulikuwa na wakazi 20,400[1][2]
Yeriko (kwa Kiebrania יְרִיחוֹ, kwa Kiarabu أريحا, maana yake "wenye kunukia") ni mji wa kale sana, ulioanzishwa miaka 9000 hivi KK karibu na mto Yordani. Yeriko kutoka kusini. Mwaka 2006 ulikuwa na wakazi 20,400[1][2]