Yara Sallam
Mwanaharakati wa haki za wanawake wa Misri / From Wikipedia, the free encyclopedia
Yara Sallam (alizaliwa 24 Novemba 1985) ni mtetezi maarufu wa masuala ya wanawake na haki za binadamu wa Misri.
Amefanya kazi kama mwanasheria na mtafiti wa mashirika kadhaa ya haki za binadamu ya Misri na kimataifa, pamoja na Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR).[1] [2]