Xander Berkeley
From Wikipedia, the free encyclopedia
Alexander Harper Berkeley (alizaliwa mnamo 16 Desemba 1955) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kuigiza kama George Mason katika mfululizo wa televisheni wa 24.
Ukweli wa haraka Amezaliwa ...
Xander Berkeley | |
---|---|
![]() Sarah Clarke na Xander Berkeley katika set ya 24 | |
Amezaliwa | Alexander Harper Berkeley 16 Desemba 1955 (1955-12-16) (umri 68) Brooklyn,New York[1] |
Funga