![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/93/Gabon_-_Woleu-Ntem.svg/langsw-640px-Gabon_-_Woleu-Ntem.svg.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Woleu-Ntem
From Wikipedia, the free encyclopedia
Woleu-Ntem ni moja kati ya mikoa tisa ya nchini Gabon. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 38,465. Mji mkuu wa mkoa huu ni Oyem.
![]() | Makala hii, au sehemu za makala hii, inahitaji vyanzo au marejeo yoyote. Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuweka vyanzo vya kuaminika. Habari zisizowekewa vyanzo zinaweza kuwekewa alama na kuondolewa. (Desemba 2009) |
![Woleu-Ntem Province](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/93/Gabon_-_Woleu-Ntem.svg/640px-Gabon_-_Woleu-Ntem.svg.png)
Ukiwa Woleu-Ntem ni mkoa uliopo kaskazini sana mwa nchi ya Gabon, ni mkoa pekee uliopakana na Cameroon, vilevile umepakana na Jamhuri kadhaa kama vile Guinea ya Ikweta na kongo. Mkoa umepakana na maeneo ya nchi hizi:
- Mkoa wa Centro Sur, Guinea ya Ikweta - kaskazini-magharibi, magharibi mwa Wele-Nzas
- Mkoa wa Wele-Nzas, Guinea ya Ikweta - kaskazini-magharibi, mashariki mwa Centro Sur na kusini mwa Kié-Ntem
- Kié-Ntem Province, Equatorial Guinea - northwest, north of Wele-Nzas
- Mkoa wa South, Cameroon - kaskazini
- Mkoa wa Sangha, Jamhuri ya Kongo - mashariki
Domestically, it borders the following provinces:
- Estuaire - kusini-magharibi
- Moyen-Ogooué - kusini
- Ogooué-Ivindo - kusini-mashariki