Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki)From Wikipedia, the free encyclopedia Wizara ya Utamaduni na Utalii (Kituruki: Kültür ve Turizm Bakanlığı) ni ofisi ya wizara ya serikali ya Jamhuri ya Uturuki, inahusika na masuala ya utamaduni na utalii nchini Uturuki. Jengo la wizara ya utamaduni na utalii nchini Uturuki Kwa mwaka wa 2018, inaongozwa na Mehmet Ersoy.[1]
Wizara ya Utamaduni na Utalii (Kituruki: Kültür ve Turizm Bakanlığı) ni ofisi ya wizara ya serikali ya Jamhuri ya Uturuki, inahusika na masuala ya utamaduni na utalii nchini Uturuki. Jengo la wizara ya utamaduni na utalii nchini Uturuki Kwa mwaka wa 2018, inaongozwa na Mehmet Ersoy.[1]