![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/68/Sipilou_Department_locator_map_C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire.jpg/640px-Sipilou_Department_locator_map_C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire.jpg&w=640&q=50)
Wilaya ya Sipilou
Wilaya ya Cote d'Ivoire / From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Sipilou (kwa Kifaransa: département de Sipilou) ni moja kati ya Wilaya tano za Mkoa wa Tonkpi ulioko Magharibi mwa Cote d'Ivoire.
auto
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Wilaya ya Sipilou | |
![]() |
|
Imara: 2011 | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Montagnes |
Mkoa | Tonkpi |
Serikali[1] | |
- Prefect | Florentin Assamoi |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 41,868 |
GMT | (UTC+0) |
Funga
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 41,868.
Makao makuu ya eneo hilo ni Sipilou.
Wilaya ya Sipilou sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo: