From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Siliana ni kati ya wilaya 24 za Tunisia.
Inapatikana katika mkoa wa Kaskazini Magharibi ukiwa na wakazi 223,087 (2014[1]) katika eneo la kilomita mraba 4,642, msongamano ukiwa wa watu 48.06 kwa kilomita mraba.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.