![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/4d/Nassian_Department_locator_map_C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire.jpg/640px-Nassian_Department_locator_map_C%25C3%25B4te_d%2527Ivoire.jpg&w=640&q=50)
Wilaya ya Nassian
Wilaya ya Cote d'Ivoire / From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Nassian (kwa Kifaransa: département de Nassian) ni moja kati ya Wilaya nne za Mkoa wa Bounkani ulioko Kaskazini mashariki mwa Cote d'Ivoire.
auto
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Wilaya ya Nassian | |
![]() |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Zanzan |
Mkoa | Bounkani |
Serikali[1] | |
- Prefect | Koné Sounan Jacques |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 44,528 |
GMT | (UTC+0) |
Funga
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 44,528.
Makao makuu ya eneo hilo ni Nassian.
Wilaya ya Nassian sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo: