Wilaya ya Butebo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Butebo ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki, Uganda iliyoanzishwa tarehe 1 Julai 2017 kutokana na wilaya ya Pallisa.
Ukweli wa haraka Nchi, mji mkuu ...
Wilaya ya Butebo | |
Majiranukta: 01°12′N 33°55′E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
mji mkuu | Butebo |
Idadi ya wakazi (2008) | |
- Wakazi kwa ujumla | 120,000 |
Tovuti: http://www.butebo.go.ug |
Funga