Wikipedia ya Kialbania
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wikipedia ya Albania (Kialbania: Wikipedia shqip) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kialbania. Wikipedia hii, ilianzishwa mnamo tar. 12 Oktoba 2003. Na kwa tar. 22 Aprili 2008, Wikipedia hii imevuka idadi ya makala zaidi ya 20,000[1][2]na ni Wikipedia ya 52 kwa ukubwa wa hesabu ya wingi wa makala.
Ukweli wa haraka Kisara, Ya kibiashara? ...
![]() | |
---|---|
Kisara | http://sq.wikipedia.org/ |
Ya kibiashara? | Hapana |
Aina ya tovuti | Mradi wa kamusi elezo ya internet |
Kujisajiri | Hiari |
Lugha asilia | Kialbania |
Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Funga