Western Union
From Wikipedia, the free encyclopedia
Western Union ni kampuni ya huduma za kifedha na mawasiliano ya Marekani. Mpaka ilipoacha huduma ya telegramu mwaka 2006, kampuni hii ilikuwa ndiyo iliyojulikana zaidi kwa biashara hiyo nchini Marekani.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/89/Western_Union_Logo_2019.svg/640px-Western_Union_Logo_2019.svg.png)
Western Union ina idara kadhaa, kama vile uhamisho wa fedha, hawala ya fedha amri, malipo ya biashara na huduma za kibiashara.
Hivi sasa ndiyo kampuni kubwa kabisa duniani kwa huduma za utumaji wa fedha.