From Wikipedia, the free encyclopedia
Walabi ni marsupialia wa familia Macropodidae ambao wanapatikana maeneo ya Australia na Nyugini. Wanyama hao wanafanana na kangaruu lakini ni wadogo zaidi.
Walabi | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Walabi mwepesi (Macropus agilis) | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 10:
| ||||||||||||||
Katika uainishaji wa kisayansi walabi wapo katika familia moja pamoja na kangaruu. Huainisha katika spishi 48 na jenasi kumi, lakini kangaruu wamegawanyika katika spishi sita za jenasi mbili: Macropus na Osphranter.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Walabi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.