![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f8/Hamisi_Kigwangalla_Bungeni.jpg/640px-Hamisi_Kigwangalla_Bungeni.jpg&w=640&q=50)
Wabunge wa Tanzania 2005
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wabunge wa Tanzania ni wawakilishi wa taifa katika Bunge la Tanzania wakichaguliwa mara moja kila baada ya miaka mitano kuingia katika Bunge la Tanzania. Wananchi wanapiga kura katika majimbo yao. Pia, kuna viti maalum kwa wanawake na wabunge hadi 10 wanaochaguliwa na Rais na Bunge lenyewe.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f8/Hamisi_Kigwangalla_Bungeni.jpg/640px-Hamisi_Kigwangalla_Bungeni.jpg)
Vyama vinavyofuata vina Wabunge waliochaguliwa katika uchaguzi wa 2005: