Volodymyr Zelensky
Rais wa Ukraine. / From Wikipedia, the free encyclopedia
Volodymyr Oleksandrovych Zelensky (alizaliwa 25 Januari 1978) ni mwanasiasa, mwandishi na mwigizaji wa filamu, mchekeshaji na rais wa sasa (wa 6) wa Ukraine toka 20 Mei 2019.
Ukweli wa haraka
| |
Rais | |
Tarehe ya kuzaliwa | 25 Januari 1978 |
Kazi | mwanasiasa, mwandishi na mwigizaji wa filamu, mchekeshaji na rais |
Funga