KisuFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kisu (maana yake "msu mdogo"; wingi: visu) ni kifaa cha kukata chenye bapa ambalo ni kali angalau upande moja. Kwa kawaida kuna sehemu mbili: bapa kali na shikilio. Siku hizi bapa imetengenezwa kwa metali na shikilio la ubao au plastiki. Kisu cha jikoni Visu vya mawe (zama za mawe ya mwisho)
Kisu (maana yake "msu mdogo"; wingi: visu) ni kifaa cha kukata chenye bapa ambalo ni kali angalau upande moja. Kwa kawaida kuna sehemu mbili: bapa kali na shikilio. Siku hizi bapa imetengenezwa kwa metali na shikilio la ubao au plastiki. Kisu cha jikoni Visu vya mawe (zama za mawe ya mwisho)