From Wikipedia, the free encyclopedia
Vijili wa Trento (353 hivi - ziwa la Garda, Italia, 26 Juni 405) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo kwa miaka mingi akaanzisha parokia 30.
Kama alivyoagizwa na kuelekezwa na Ambrosi, alijitahidi kuwaleta Wapagani na Waario katika Kanisa Katoliki.
Aliuawa kwa ajili ya imani yake kwa kupigwa mawe[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.