![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f3/Vietnam_Airlines_Boeing_777-200ER_VN-A145_DME_2007-4-21.png/640px-Vietnam_Airlines_Boeing_777-200ER_VN-A145_DME_2007-4-21.png&w=640&q=50)
Vietnam Airlines
From Wikipedia, the free encyclopedia
Vietnam Airlines ni kampuni ya ndege ya taifa ya Vietnam yenye makao makuu jijini Hanoi. Kampuni hii ilianza kufanya kazi zake mwaka 1996 baada ya kuvunjika kwa Tong cong ty hang khong Vietnam kulikopelekea kuvunjika kwa "Hang hang khong Vietnam". Hivi sasa kampuni hii inatoa huduma barani Asia, Ulaya na Australia. Kampuni hii ina safari nyingi za ndege nje ya Asia kuliko kampuni yoyote barani Asia. Kampuni hii ilikuwa ikimilikiwa asilimia 100 na serikali ya Kenya mpaka mwaka 1996.
Ukweli wa haraka IATA VN, ICAO HVN ...
| ||||
Kimeanzishwa | 1956 (as Vietnam Civil Aviation) | |||
---|---|---|---|---|
Vituo vikuu |
| |||
Programu kwa wateja wa mara kwa mara | Golden Lotus Plus | |||
Member lounge | Golden Lotus Lounge | |||
Muungano | SkyTeam | |||
Subsidiaries |
| |||
Ndege zake | 71 | |||
Shabaha | 48 (20 domestic; 26 international; 2 seasonal) | |||
Nembo | Bringing Vietnamese Culture to the World | |||
Kampuni mama | Vietnam Airlines Corporation | |||
Makao makuu | Long Bien, Hanoi, Vietnam | |||
Watu wakuu | ||||
Tovuti | vietnamairlines.com |
Funga
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f3/Vietnam_Airlines_Boeing_777-200ER_VN-A145_DME_2007-4-21.png/640px-Vietnam_Airlines_Boeing_777-200ER_VN-A145_DME_2007-4-21.png)