![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/aa/Victor_Martinez.jpg/640px-Victor_Martinez.jpg&w=640&q=50)
Victor Hipolito Martínez
From Wikipedia, the free encyclopedia
Víctor Hipólito Martínez (1924 - 20 Novemba 2017) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa wa Argentina. Anajulikana zaidi kwa jukumu lake kama Naibu wa Rais wakati wa uongozi wa Raúl Alfonsín wa miaka ya 1983-1989.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/aa/Victor_Martinez.jpg/640px-Victor_Martinez.jpg)
Muda alipokuwa ofisini
10 Desemba 1983 – 8 Julai 1989
Rais wake: Raúl Alfonsín
Kabla yake: María Estela Martínez de Perón
Baada yake: Eduardo Duhalde
Alizaliwa: 1924
Katika eneo la Córdoba, Argentina