Veszprém (wilaya)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Veszprém ni moja ya wilaya 19 ya kujitawala ya Hungaria. Idadi ya wakazi wake ni takriban 375,000. Mji wake mkuu ni Veszprém.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Veszprém | |
Mahali pa Wilaya ya Veszprém katika Hungaria | |
Nchi | Hungaria |
---|---|
Mkoa | Transdanubia ya Kati |
Mji mkuu | Veszprém |
Eneo | |
- Jumla | 4,613 km² |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 375,000 |
Tovuti: http://www.vpmegye.hu/ |
Funga