Vas (wilaya)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Vas ni moja ya wilaya 19 ya kujitawala ya Hungaria. Idadi ya wakazi wake ni takriban 261,900. Mji wake mkuu ni Szombathely.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Vas | |
![]() |
|
Nchi | ![]() |
---|---|
Mkoa | Transdanubia ya Magharibi |
Mji mkuu | Szombathely |
Eneo | |
- Jumla | 3,336 km² |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 261,900 |
Tovuti: http://www.vasmegye.hu/ |
Funga