![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/a1/Arusha_Airport.jpg/640px-Arusha_Airport.jpg&w=640&q=50)
Uwanja wa ndege wa Arusha
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwanja wa ndege wa Arusha (IATA: ARK, ICAO: HTAR) ni kiwanja cha ndege cha Arusha, Tanzania.
Ukweli wa haraka Uwanja wa ndege wa Arusha English: Arusha Airport, Muhtasari ...
Uwanja wa ndege wa Arusha English: Arusha Airport | |||
---|---|---|---|
![]() | |||
IATA: ARK – ICAO: HTAR – WMO: 63789 | |||
Muhtasari | |||
Aina | Matumizi ya Umma | ||
Mmiliki | Serikali ya Tanzania | ||
Opareta | Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania | ||
Mahali | Arusha, Tanzania | ||
Kitovu cha | Air Excel Regional Air | ||
Mwinuko Juu ya UB |
4,550 ft / 1,387 m | ||
Anwani ya kijiografia | 03°22′00″S 36°37′19″E | ||
Ramani | |||
Mahali ya uwanja nchini Tanzania | |||
Njia ya kutua na kuruka ndege | |||
Mwelekeo | Urefu | Aina ya barabara | |
m | ft | ||
09/27 | 1,620 | 5 315 | Lami |
Takwimu (2004) | |||
Idadi ya abiria | 87,252 | ||
Funga
Abiria 87,252 walipita humo mwaka 2004.