Uwanja wa michezo wa St. Mary
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwanja wa michezo wa St Mary ni uwanja unaotumika na klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Southampton FC; umekuwa uwanja wa nyumbani wa klabu hiyo tangu mwaka 2001. Uwanja huo una uwezo wa kubeba watu 32,384 [1] na kwa sasa ni uwanja mkubwa zaidi wa mpira nje ya London huko Uingereza Kusini.