![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e7/Nuuk_Stadium.jpg/640px-Nuuk_Stadium.jpg&w=640&q=50)
Uwanja wa Nuuk
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwanja wa ndege wa Nuuk ni uwanja wa michezo wa Nuuk,uliopo Greenland, mara nyingi ukitumika kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu, wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 2,000.[1]
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e7/Nuuk_Stadium.jpg/640px-Nuuk_Stadium.jpg)
Uwanja huu unatumika pia kwa ajili ya matamasha mbalimbali,mwezi 27 Novemba 2007 kundi la muziki la Nazareth Band lilifanya onyesho katika uwanja huu.[2] Mnamo tarehe 1 Aprili 2011. uwanja huu ulitembelewa na Suzi Quatro.[3]